Alichokisema Mange Kimambi Baada ya Idriss Kuandika Hivi Kuhusu Maandamano ya April 26 "Maandamano ya Amani Juu ya Jambo Fulani Yanahaki ya Kuungwa mkono"
Idriss Sultani ameonekana kuwa upande ambao umemfurahisha mwanaharakati mange Kimambi kuhusu kuweka msimamo wake juu ya maandamano yaliopangwa kufanyika siku ya kesho april 26 huku muandaaji mkubwa wa maandamano hayo akiwa mwanadada mange Kimambi.
Kupitia Ukrasa wake wa instagram Idriss aliandika "Maandamano yoyote yernye amani na ni kwaajili ya kuweka awereness juu ya jambo flani bila vita wala ugomvi wa aina yoyote yana haki ya kupewa sapport kama yamekugusa. Inaitwa the Democratic Republic on Tanzania. Let's act like our name. Kuwa mzalendo kwa kuepuka maandamano ya shari tu Rismillah itangulie#mzalendo"
Baada ya Mange Kimambi kuona post ya Idriss naye aliandika hivi " Idriss uwezi kuelewa uzito wa post hii sababu watanzania wanahitaji sapoti kama hii kutoka kwa nyinyi mastaa ni wewe pekee umejirisk kwaajili yao. watanzania wanaweza wasikulipe ila mungu atakulipa. Ulichokifanya leo kina uzito wake. Idriss naomba usikae nyumbani siku ya leo........ Heshima yangu kwako is waaaaaay up there! salute!!!!!!"
Comments
Post a Comment