Kimenuka: Jeshi la Polisi Limeshikilia Hati za Kusafiria na Simu za Wasanii Nandy, Billnass, Hamissa Mobetto na Diamond
 DAR: Jeshi la Polisi linashikilia hati za kusafiria pamoja na simu za wasanii Diamond Platnumz, Nandy, Billnass na Hamisa Mobetto kwa uchunguzi zaidi Wasanii hao walikamatwa na kuhojiwa juzi na jana katika Kituo Kikuu cha Polisi kisha kuachiwa kwa dhamana wakitakiwa kuripoti tena Ijumaa Aprili 20 Wasanii hao walikamatwa na kuhojiwa kutokana na kusambaa kwa video zao zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii
Comments
Post a Comment